Saturday, December 7, 2019

Magufuli amfuta kazi balozi wa Tanzania nchini Canada

Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata.
Uamuzi huu umeanza tarehe 5 November 2018pia Kidata ameondolewa hadhi yake ya ubalozi.

OFA: “WATANZANIA 150 KWENDA ISRAEL KWA MIEZI 11, KURUDI NA ZAIDI MILIONI 20” JPM

No comments:

Post a Comment