January 15, 2021 by Deric Samora
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani ya kitaifa ya upimaji wa maarifa darasa la nne na kidato cha pili na kidato cha nne kwa mwaka 2020 pia yatizame hapa matokeo ya upimaji wa kidato cha pili na darasa la nne...
No comments:
Post a Comment