Saturday, January 13, 2024

DARAJA LAZIDIWA NA MAJI NA KUSABABISHA MADHARA IKIWEMO KUSOMBWA KWA WANYAMA KUTOKANA NA MAJI MENGI

Na waandishi wetu Deric Samora na Samora Omary....


Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mikoani kote nchini Tanzania,tukio la kustaajabisha limejitokeza katika wilaya ya Iramba mkoa wa Singida na kusababisha madhara ikiwemo uharibifu wa miundombinu pamoja na wanyama kusombwa na maji.

Derisam media iliweza kufika eneo la tukio na kuhojiana na wanachi mbalimbali kufuatia tukio hilo lililowashangaza wengi.

Kwa taarifa zaidi usiache kutufuatilia kupitia blog yetu ya Derisam media na Chaneli yetu ya Youtube Derisam Media pia kupitia whatsApp +255753864398.
 

No comments:

Post a Comment