Necta yatangaza rasmi matokeo ya kidato cha pili na kidato cha nne kwa mwaka 2019/2020.Baraza la mitihani la taifa leo alhamisi 09.1.2020 asubuhi limetoa takwimu maalumu juu ya ufaulu wa watahiniwa walifanikiwa kufanya mitihani yao kwa mwaka 2019/2020.Katibu mtendaji mkuu wa necta DK.Charles Msonde alisema ufaulu wa kidato cha pili umeongezeka ikiwa ni kwa wastani wa asilimia 90.4.
Pia sambamba na kidato cha nne ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.38 ikiwa ni wastani wa asilimia 80.65.
YATAZAME KWA KUBOFYA LINK HAPA CHINI...!!!
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE bofya chini
https://
matokeo.necta.go.tz/csee/csee.htm
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI bofya chini
https//matokeo.necta.go.tz/ftna/ftna.htm
Great performance
ReplyDelete